Kinshasa yamkumbuka Muhammad Ali | Michezo | DW | 09.06.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Michezo

Kinshasa yamkumbuka Muhammad Ali

Pambano la "Rumble in the Jungle" kati ya George Foreman na Muhammad Ali lilifanyika mjini hapo 1974 na lilibadili sura ya Kinshasa. Wakazi wanakumbukia pambano hilo na kusema kwanini wanapenda ndondi.

Sikiliza sauti 03:58
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Ripoti ya Saleh Mwanamilongo kutoka Kinshasa

Ukumbi wa ndondi uliopewa jina la Muhammad Ali mjini Kinshasa

Ukumbi wa kujifunzia ndondi uliopewa jina la "Muhammad Ali" mjini Kinshasa

Sauti na Vidio Kuhusu Mada