Katika kupambana na maisha na hali ngumu ya kiuchumi kina mama takriban 30 hivi wa kijiji cha Pongwe ambao wanajiita Tusikerane, wamekataa kuwa tegemezi kwa kuanzisha mradi wa kusuka mikoba ya ukili ambayo wanatazamia itawaondoa katika umaskini. Tazama vidio.