1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenyatta aweka huduma ya mahakama chini ya ofisi yake

4 Juni 2020

Jaji Mkuu wa Kenya David Maraga amesikitishwa na amri ya Rais Uhuru Kenyatta ya kuihamishia Tume ya Huduma ya Mahakama (JSC) katika ofisi ya rais. Jaji huyo amesema JSC inapaswa kuwa huru na sio kuwa sehemu ya serikali.

https://p.dw.com/p/3dFFC
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya  (BBI)
Picha: AFP/T. Karumba

J2.04.06.2020-Kenyatta's Executive order to abolish VP - MP3-Stereo

Kutokana na kauli hiyo, Sudi Mnette amezungunmza na mwanasheria Bobby Mkangi akiwa Nairobi, na kwanza ameuliza lipi lilikuwa kusudio la rais Kenyatta katika kufanya mabadiliko hayo?