1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenyatta akomesha mawaziri kufanya vikao vya usiku

Shisia Wasilwa 11 Julai 2019

Rais Uhuru Kenyatta amewaagiza mawaziri wake kukoma kufanya vikao vya usiku, kufuatia madai kuwa baadhi yao wanatumia vikao hivyo kupanga njama dhidi ya Naibu Rais William Ruto. Hata hivyo hadi sasa Ruto hajaandikisha taarifa rasmi kwenye kituo cha polisi kuhusu njama hizo.

https://p.dw.com/p/3Lvli