1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya yaapa kuwahifadhi tembo

4 Oktoba 2011

Serikali ya Kenya imeamua kuchukuwa jitihada za makusudi kabisa kuwahifadhi tembo ambao wamekuwa aina moja ya wanyama pori wanaopotea kwa kasi ya ajabu kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za mazingira.

https://p.dw.com/p/Rp5B
Tembo, wanyama walio hatarini kutoweka Afrika ya Mashariki.
Tembo, wanyama walio hatarini kutoweka Afrika ya Mashariki.Picha: Richard A. Fuchs

Eric Ponda anazungumzia juhudi za kuwahisabu na kuwahifadhi tembo katika mbuga za Afrika ya Mashariki kwa ujumla na mahsusi kabisa nchini Kenya.

Mtayarishaji/Msimulizi: Eric Ponda
Mhariri: Othman Miraji