Kenya yaanza mchakato wa kukusanya sahihi kufanyia katiba mageuzi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 25.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Kenya yaanza mchakato wa kukusanya sahihi kufanyia katiba mageuzi

Kenya ilizindua zoezi la ukusanyaji wa sahihi kwa lengo la kuunga mkono ripoti ya Maridhiano ya taifa-BBI wakati Rais Kenyatta alipowaambia Wakenya kuwa BBI ni njia ya kuleta umoja katika taifa na kuwataka wanasiasa kukoma kupiga siasa za mgawanyiko. Je raia wanafikiri nini juu ya mchakato huo? Video na Thelma Mwadzaya.

Tazama vidio 02:58