Katumbi apatiwa matibabu Afrika Kusini | Matukio ya Afrika | DW | 24.05.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Katumbi apatiwa matibabu Afrika Kusini

Mkuu wa upinzani DRC, Moise Katumbi, yuko Afrika Kusini kwa matibabu, wakati ambapo anatakiwa kujibu mashitaka kortini. Anashutumiwa kuajiri mamluki na kutishia usalama wa taifa, madai aliyoyakanusha.

Sikiliza sauti 03:45
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Justin Bitakwira katika mahojiano

DW imezungumza na mwenyekiti wa chama kimojawapo cha upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, muungano kwa ajili ya hali ya kuaminiana kitaifa, Justin Bitakwira, kutaka kujua upande wa upinzani unaitathmini vipi hali nchini humo.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada