Kabila kumteua Waziri Mkuu ndani ya saa 48 | Media Center | DW | 05.04.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kabila kumteua Waziri Mkuu ndani ya saa 48

Viongozi wa dunia wakutana kujadili shambulizi la sumu Syria, Rais wa Congo Kabila aahidi kumteua Waziri Mkuu ndani ya saa 48 na shinikizo lamsakama Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma

Tazama vidio 01:55
Sasa moja kwa moja
dakika (0)