1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Muziki

Josky Kiambukuta lulu ya rhumba itakayokumbukwa daima

12 Machi 2021

Ulimwengu wa muziki wa Rhumba unaomboleza kifo cha Josky Kiambukuta mwanamzuki wa zamani wa tasnia hiyo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambae amefariki dunia hivi karibuni. Zaidi kisikilize kipindi cha "Karibuni"

https://p.dw.com/p/3qYZh