Jinsi ya kujikinga kutokana na virusi vya Corona | Mada zote | DW | 12.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Jinsi ya kujikinga kutokana na virusi vya Corona

Watu wengi huvaa vinyago kote duniani kwa kujikinga na ugonjwa wa corona. Lakini hatua nyingine ni muhimu zaidi.Ufuatao ni muelekezo wa shrika la afya ulimwenguni WHO kwa kujikinga na virusi vya Corona.