1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maadhimisho ya miaka 59 ya muungano wa Tanganyika

Sudi Mnette
26 Aprili 2023

Kuna hisia mseto juu ya maadhimisho ya miaka 59 ya muungano wa iliyokuwa Tanganyika na Zanzibar. Je, muungano huo umekuwa na changamoto ama faida? Sudi Mnette amezungumza na mnadhimu mkuu wa Baraza Kivuli la Chama cha ACT Wazalendo Ali Saleh akiwa Unguja, chama ambacho ni sehemu ya serikali inayotawala Zanzibar kwa sasa.

https://p.dw.com/p/4QZor