1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je chama kipya cha Bobi Wine kitaleta ushindani Uganda?

22 Julai 2020

Msanii ambaye pia ni mbunge wa Uganda anayetaka kuwania urais Robert Kyagulani maarufu kama Bobi Wine amezindua chama kipya cha siasa kwa jina National Unity Platform yaani Jukwaa la Umoja wa Kitaifa. Sikiliza uchambuzi wake Ali Mutassa kutoka Kampala kwanza kwa nini anafikiri Bobi Wine ameanzisha chama kipya badala ya vuguvugu lake la People’s Power?

https://p.dw.com/p/3fhTy