Jaribio la kupindua serikali Uganda | Matukio ya Afrika | DW | 10.06.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Jaribio la kupindua serikali Uganda

Watu wasiopungua 30, wakiwemo askari na mbunge mmoja wa upinzani, wanashikiliwa kwa tuhuma za kuandaa njama ya kutaka kuipindua serikali ya Rais Yoweri Museveni, kwa mujibu wa msemaji wa jeshi la Uganda, Paddy Ankunda.

Sikiliza sauti 02:59

Mahojiano na mchambuzi Ali Mutassa

Sauti na Vidio Kuhusu Mada