India yaongoza maadhimisho ya kimataifa ya Yoga | Media Center | DW | 21.06.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

India yaongoza maadhimisho ya kimataifa ya Yoga

Mamia ya maelfu ya watu nchini India wameadhimisha siku ya kimataifa ya Yoga, ambayo mwaka huu ni mara ya tatu kusherehekewa. Waziri mkuu wa India Narendra Modi aliongoza maadhimisho hayo, na kusema Yoga imbayo hapo awali ilikuwa kiunganishi cha mwili na roho, sasa imekuwa chombo cha kuiunganisha dunia.

Tazama vidio 01:00
Sasa moja kwa moja
dakika (0)