1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ijue timu ya soka ya Walemavu Uganda

Saumu Mwasimba
12 Septemba 2018

Ni timu inayojiamini katika mchezo wa soka nchini Uganda.Timu ya soka ya vijana walemavu inajiandaa kwa michuano itakayofanyika mwakani nchini Angola.Timu hiyo ilianzishwa mwaka 2014 na ina wachezaji wenye ulemavu wa miguu na wengine hawana mikono

https://p.dw.com/p/34loU