1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sheria na Haki

ICC imefanikiwa nini baada ya miaka 20?

Mohammed Abdulrahman Mohammed/MMT28 Agosti 2018

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, International Criminal Court ICC, iliasisiwa Julai 17 mwaka 1998 na  baadae kuundwa rasmi 2002. Lengo likiwa ni  kuwafungulia mashitaka wale ambao wamehusika na  uhalifu mkubwa wa kisiasa, mauaji ya kimbari, uhalifu wa kivita na maovu dhidi ya binaadamu. Tunaitupia jicho mahakama hiyo, utendaji wake na ikiwa kweli ni chombo chenye umuhimu na kinachohitajika.

https://p.dw.com/p/33tDF