1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hofu ya kupungua kwa vipepeo duniani

Bernard Maranga MMT23 Agosti 2019

Wakati mazingira ni mazuri vipepeo huwa wengi kwani wanafurahia hewa safi kulingana na wanasayansi.Lakini mazingira yamebadilika na vipepeo wamepungua.Sasa wataalamu wa mazingira wameelezea hofu yao kuhusiana na kupungua kwa idadi ya vipepeo duniani.Je nini chanzo cha kupungua kwa vipepeo na madhara yake ni nini? Ni makala ya mtu na Mazingira ilioandaliwa na Bernard Maranga.

https://p.dw.com/p/3OOS7