1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hatua ya kujiuzulu May inamaanisha nini?

Josephine Tatu Karema24 Mei 2019

Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May atangaza kujiuzulu Juni 7, akisema hana kinyongo na mtu. DW imezungumza na mwandishi wa habari na mchambuzi wa kimataifa, Ahmed Rajab, akiwa London, Uingereza ambaye anaanza kwa kuelezea hatua hii inaashiria nini hasa.

https://p.dw.com/p/3J0uc