Hata wazee wanaweza kujifunza! | Media Center | DW | 06.06.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Hata wazee wanaweza kujifunza!

Wastaafu nchini Uingeraza wanarudi chuo kikuu kama sehemu ya mapinduzi ya elimu. Kozi zinazotolewa ni pamoja na kucheza, kujifunza lugha na kuimba. Mpango huo unawasaidia wazee kuingiliana na wenzao katika taasisi moja. Chuo cha Third Age kama kinavyojulikana sasa kina wanachama 385,000

Tazama vidio 01:32
Sasa moja kwa moja
dakika (0)