Hali ya utulivu yarejea DRC | Matukio ya Afrika | DW | 22.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Hali ya utulivu yarejea DRC

Kinshasa kumetulia baada ya siku kadhaa za maandamano na mauaji. Wapinzani wanataka Rais Kabila atangaze tarehe ya uchaguzi mkuu. Je, ujumbe umefika? Mchambuzi Paul Mahwera anatoa tathmini yake.

Sikiliza sauti 03:10

Mahojiano kati ya Paul Mahwera na Saumu Mwasimba

Sauti na Vidio Kuhusu Mada