Hali ya kisiasa Kenya yazidi kuchacha | Media Center | DW | 13.05.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Hali ya kisiasa Kenya yazidi kuchacha

Wakati siasa zikiendelea kushika kasi nchini Kenya, rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta hajaonekana hadharani katika shughuli zake, hatua ambayo imeilazimu ikulu kutoa taarifa kwamba yupo anaendelea na kazi zake. Sikiliza ripoti ya Thelma Mwadzaya.

Sikiliza sauti 02:37