1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali tete ya kisiasa Ujerumani, kulikoni?

Sudi Mnette19 Aprili 2021

Chama cha watetezi wa mazingira cha Ujerumani, Die Grüne kimemteua Annalena Baerbock kuwa mgombea wake wa ukansela katika uchaguzi mkuu wa mwezi Septemba. Huku kambi ya wahafidhina ya vyama vya CDU na CSU bado ikiwa inayumba katika hatua hiyo. Mchambuzi wa siasa za hapa Ujerumani ambae pia ni mwandishi habari mkongwe, Abdul Mtullya anachambua, akianza na kwanini hali imekuwa hivyo?

https://p.dw.com/p/3sERh