1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ngumu ya maisha yawaliza Wakenya

Wakio Mbogho17 Machi 2021

Muungano wa makanisa nchini Kenya umeitaka serikali ya nchi hiyo kuyalinda maisha ya watu wake kufuatia kilio cha umma kuhusu kupanda kwa gharama ya maisha. Huku taasisi hiyo ikielezea wasiwasi kwamba Kenya inapitia kipindi kilichojawa na utata, msemaji wa serikali amewataka wananchi kuacha kulalamika na badala yake waiunge mkono serikali. Mwandishi wetu Wakio Mbogho alileta taarifa hii.

https://p.dw.com/p/3qjVY