1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Haki kwa wahanga wa mauaji ya Yumbi

Saleh Mwanamilongo
14 Januari 2021

Wahanga wa mauwaji ya Yumbi, kilomita 300 kutoka mji mkuu Kinshasa, wanalilia haki yao. Miaka miwili baada ya mauwaji hayo yaliosababisha vifo vya zaidi ya watu 500, washukiwa bado hawajafikishwa mbele ya vyombo vya kisheria. Kwenye Makala ya Mbiu ya Mnyonge inaangazia hilokwa upana. Mtayarishaji ni Saleh Mwanamilongo.

https://p.dw.com/p/3ntts