1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Guinea

Utajiri wa madini wa Guinea unaifanya kuwa moja ya mataifa tajiri zaidi barani Afrika, lakini watu wanke ndiyo miongoni mwa maskini zaidi Afrika Magharibi.

Majaribio ya nadharia ya ujamaa pamoja na miaka miwili ya utawala wa kijeshi viliwaathiri pakubwa raia wa Guinea. Uchaguzi mkuu wa 2010 uliingiza madarakani utawala wa kiraia, lakini ulisababisha pia makabiliano ya vurugu ya kikabila. Zaidi ya hayo mamia ya maelfu ya wakimbizi kutoka Liberia na Sierra Leon wameuongezea ugumu uchumi wa Guinea ambayo tayari unakabiliwa na changamoto.

Onesha makala zaidi