1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Gladbach ina kibarua kipevu na Leipzig Ijumaa

Josephat Charo
24 Novemba 2025

Borussia Moenchengladbach ina miadi na RB Leipzig nyumbani Borussia Park. Gladbach watashuka dimbani baada ya ushindi mnono wa 3-0 ugenini Heidenheim wikendi iliyopita huku Leipzig nao wakiwa na nguvu nyingi baada ya kuichapa Werder Bremen 2-0 nyumbani Red Bull Arena. Josephat Charo anazungumza na Jacob Safari na Saumu Njama katika mjadala wa michezo.

https://p.dw.com/p/548bB