1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Freiburg im Breisgau

Freiburg im Breisgau, kawaida hutajwa tu kama Freiburg, ni mji ulioko katika jimbo la kusini mwa Ujerumani la Baden-Württemberg. Uko kandoni mwa Mto Dreisam.