1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dortmund yaendelea kuikaba koo Bayern

Josephat Charo
8 Mei 2023

Borussia Dortmund yapata ushindi mnono dhidi ya Wolfsburg na kuendelea kuishinikiza Bayern Munich kileleni mwa Bundesliga. Je Dortmund watabeba taji msimu huu au ni Bayern watakaolitwaa kwa mara ya 11 mfululizo? Manchester City kukwaana na Real Madrid katika nusu fainali ya kombe la mabingwa barani Ulaya Champions.

https://p.dw.com/p/4R3c7