Fred Batale na juhudi za kuwasaidia walemavu wenzake | Afrika yasonga mbele | DW | 18.11.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Fred Batale na juhudi za kuwasaidia walemavu wenzake

Watu wenye ulemavu Uganda wananyanyapaliwa. Lakini Fred Batale aliuchukua ubaguzi huo kama changamoto na kuanzisha mradi wa sanaa kwa walemavu, akiwa na lengo la kuwawezesha na kuwapatia maarifa ya sanaa na ubunifu.

Tazama vidio 03:07

Fred Batale anawasaidia walemavu kujipatia kipato na wasikae bila makaazi

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com