Faru wa kipekee wa kiume aliyesalia duniani amefariki Kenya | Media Center | DW | 20.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Faru wa kipekee wa kiume aliyesalia duniani amefariki Kenya

Faru huyo pekee wa kiume duniani kwa jina Sudan amefariki nchini Kenya kutokana na matatizo ya kiafya ya uzee. Watafiti wamevuna jeni zake ili kujaribu kutumia siku za usoni kutungisha mayai kutoka kwa faru wawili pekee wa kike waliosalia duniani kwa njia ya teknolojia ili kuendeleza kizazi cha faru hao aina ya 'Nothern White Rhino'.

Tazama vidio 01:45
Sasa moja kwa moja
dakika (0)