Fairphone - kampuni ya simu inayozingatia maadili | Masuala ya Jamii | DW | 03.09.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Fairphone - kampuni ya simu inayozingatia maadili

Unajua kama unapoitupa simu yako ya mkononi iliyoharibika huwa unatupa pia madini yaliyotumika kuitengeneza, huku ukiwa unachangia kuchafua mazingira? Kampuni ya simu ya Fairphone inataka kubalisha mazoea hayo katika sekta ya teknolojia. Utakutana pia na kifaa kipya cha kugundua mbu ndani ya nyumba na hata kukutumia ujumbe wa simu ya mkononi kukujulisha alipo mbu huyo.

Sikiliza sauti 09:46