DRC: Wapinzani wataka kushirikishwa | Matukio ya Afrika | DW | 06.04.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

uteuzi wa waziri mkuu

DRC: Wapinzani wataka kushirikishwa

Baada ya Rais Joseph Kabila hapo Jumatano kutangaza atamteua Waziri Mkuu ndani ya masaa 48, upinzani umesema unataka kuhusishwa katika mchakato wa kumteua kiongozi huyo mpya. Saleh Mwanamilongo anaripoti.

Sikiliza sauti 02:17

Ripoti ya Saleh Mwanamilongo kutoka Kinshasa

              

Sauti na Vidio Kuhusu Mada