DRC: Katumbi mgombea wa urais wa upinzani | Matukio ya Afrika | DW | 05.05.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

DRC: Katumbi mgombea wa urais wa upinzani

Katumbi anaunga mkono pendekezo la kuweko na mgombea mmoja tu wa upinzani. Wakati huo huo, waziri wa sheria ametangaza kufunguliwa uchunguzi kuhusu tuhuma za kuweko mamluki walioajiriwa na Katumbi.

Sikiliza sauti 02:45
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Ripoti ya Saleh Mwanamilongo kutoka Kinshasa

Sauti na Vidio Kuhusu Mada