DRC: Katumbi ahukumiwa miaka mitatu jela | Matukio ya Afrika | DW | 23.06.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

DRC: Katumbi ahukumiwa miaka mitatu jela

Kiongozi wa upinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Moise Katumbi, amehukumiwa kutokana na mzozo wa rasilimali, ardhi na majengo. Mahakama inadai alimuuzia mtu nyumba ambayo si yake.

Sikiliza sauti 02:47

Mahojiano na Kyungu Wa Kumwanza

Kutoka Lubumbashi Sudi Mnette amezungumza na kiongozi wa muungano wa vyama 15 vinavyomuunga mkono Katumbi vijulikanavyo kama G7, Kyungu Wa Kumwanza, na kwanza alitaka kujua wameipokeaje hukumu hiyo.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada