1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dortmund yaizika nia ya Bayern kushinda ligi

Josephat Charo
30 Machi 2024

Borussia Dortmund imeipiku Bayern Munich 2-0 katika pambano kali la Der Klassiker lilochezwa katika dimba la Allianz Arena mjini Munich. Matokeo haya yameisaida Dortmund kujiimarisha katika nafasi ya nne kwenye jedwali huku Bayer Leverkusen ikitanua mwanya wa alama 13 kati yao na Bayern. Sikiliza ripoti ya Josephat Charo.

https://p.dw.com/p/4eHbh