Disko la kimya mjini Kampala | Afrika yasonga mbele | DW | 20.11.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Disko la kimya mjini Kampala

Teknolojia katika nyanja ya burudani inazidi kushika kasi ambapo mjini Kampala sasa kuna disko la kimya (Silent Disco) kwa kutumia kisikilizio (headphone) kila mtu anapata burudani pasipo kumbugudhi mwingine. Zaidi tazama video ya mwandishi Lubega Emmanuel.

Tazama vidio 01:56