Dhulma na unyanyasaji wa wanawake kazini | Media Center | DW | 08.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Dhulma na unyanyasaji wa wanawake kazini

Takwimu zinaonyesha kuwa mwanamke mmoja kati ya watatu amewahi kukumbana na dhulma za kijinsia maishani.Utafiti umebaini kuwa dhulma na unyanyasaji husababisha ulemavu na vifo vingi zaidi ikilinganishwa na saratani na magonjwa mengine yoyote. Thelma Mwadzaya anaangazia hayo kwenye makala Wanawake na Maendeleo

Sikiliza sauti 09:45