1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CUF kwazidi kufukuta

18 Machi 2019

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imekubaliana na uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa kumtambua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa Mwenyekiti halali wa Chama cha CUF hatua ambayo imetoa pigo kwa upande wa Maalimu Seif ambaye amekuwa kwenye mzozo na mwenyekiti huyo wa muda mrefu. Sikiliza ripoti hii ya George Njogopa.

https://p.dw.com/p/3FEb0