CPJ: ′Museveni aache kutishia wanahabari′ | Matukio ya Afrika | DW | 19.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

uhuru wa habari

CPJ: 'Museveni aache kutishia wanahabari'

Shirika la kutetea haki za waandishi wa habari, CPJ, limemtaka Rais wa Uganda Yoweri Museveni kuacha kutoa kauli zinazotishia vyombo vya habari, na kuhakikisha serikali haichanganyi uandishi na ugaidi.

Sikiliza sauti 03:01
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Mahojiano na mchambuzi Ali Mutasa

Ripoti ya CPJ inafuatia matamshi na matukio kadhaa yanayotishia utendaji unaozingatia maadili wa uandishi wa habari nchini humo. DW imezungumza na Ali Mutasa, mchambuzi na mwandishi wa habari aliyeko Kampala. Na kwanza anaelezea ripoti hiyo na vitisho wanavyokabiliwa navyo.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com