China kutoa dola bilioni 60 kwa uekezaji Afrika | Matukio ya Afrika | DW | 04.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

China kutoa dola bilioni 60 kwa uekezaji Afrika

China itaipa Afrika dolla bilioni 60 kusimamia miradi ya maendeleo barani humo ambayo miongoni mwa mambo mengine italenga ujenzi wa miuondo mbinu pamoja na maarifa katika bara hilo kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.

Sikiliza sauti 03:14

Sikiliza mahojiano ya Saumu Mwasimba na mwanauchumi James Shikwati

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com