1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chanzo cha migogoro ya makabila Marsabit

Michael Kwena23 Julai 2020

Makala yetu leo, inaangazia chimbuko la mizozo katika jamii za wafugaji nchini Kenya, jimbo la Marsabit. Mizozo ya aina hiyo imepelekea mamia ya watu kufariki dunia, nyumba kuteketezwa moto, mifugo kuibiwa na watu kuyatoroka makazi yao.

https://p.dw.com/p/3fpJM