1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto za Sensa Zanzibar

24 Agosti 2022

Wakati zoezi la kuhesabu watu na makaazi likiingia siku yake ya pili Tanzania na visiwani Zanzibar kumejitokeza baadhi ya changamoto ikiwemo makarani kutowafikia wananchi ambao walikuwa na matarajio ya kuhesabiwa siku ya kwanza ya zoezi hilo. Isikilize ripoti hii iliyoandaliwa na mwandishi wetu Salma Said kutoka visiwani Zanzibar.

https://p.dw.com/p/4Fxv2