1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto za rushwa ya ngono Mtwara

3 Desemba 2019

Kwenye makala hii ya mbiu ya mnyonge, hii leo tunaangazia changamoto ya rushwa ya ngono kwenye mkoa wa Mtwara ulioko kusini mwa Tanzania. Salma Mkalibala analiangalia tatizo hilo kwa ukubwa na upana wake lakini pia athari zake. Ungependa kusikia zaidi, basi tegea sikio makala hii.

https://p.dw.com/p/3U8DU