1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kiongozi wa upinzani Burundi Agathon Rwasa apingwa chamani

Sudi Mnette
18 Julai 2023

Chama kikuu cha upinzani nchini Burundi CNL kinakabiliwa na vurugu za ndani, hatua ambayo imesababisha kufukuzwa kwa kiongozi wake Agathon Rwasa na baadae serikali kutangaza kuwa bado ni kiongozi halali. Katika mahojiano ya Kinagaubaga Sudi Mnette anazungumza na kiongozi huyo.

https://p.dw.com/p/4U5ip