Chama cha upinzani CNDD chatishia kususia uchaguzi Burundi | Matukio ya Afrika | DW | 14.08.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Chama cha upinzani CNDD chatishia kususia uchaguzi Burundi

Chama cha upinzani cha CNDD nchini Burundi kimetishia kususia uchaguzi ujao nchini humo endapo mazingira kisiasa, kiusalama na kisheria hayataboreshwa. CNDD kimesema wafuasi wao wanaedelea kunyanyaswa huku mikutano yao ikizuwiliwa na vyombo vya dola.

Sikiliza sauti 02:33