Bunge lamuunga mkono Kenyatta kodi ya mafuta | Matukio ya Afrika | DW | 19.09.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Bunge lamuunga mkono Kenyatta kodi ya mafuta

Wabunge nchini Kenya wameafikiana kuunga mkono mapendekezo ya Rais Uhuru Kenyatta ya kupunguza kodi kwenye bidhaa za mafuta kutoka asilimia 16 hadi nane.

Sikiliza sauti 02:46