1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bunge la Vijana wa Mombasa na maendeleo yao

Sudi Mnette
23 Novemba 2020

Katika kipindi cha Vijana Tugutuke Fathiya Omar amezungumza na baadhi ya vijana kutoka katika Bunge la Vijana wa Mombasa, ambapo mjadala mkubwa unajikita katika ushiriki wao wa maendeleo ya nchi.

https://p.dw.com/p/3liPt