1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
UtamaduniTanzania

Boti za mbao kivutio watalii Zanzibar

25 Januari 2023

Kisiwani Unguja watalii wengi wanaofika huvutiwa zaidi na boti za mbao uliko zile za kisasa, huzikodi na kwenda nazo katika utalii wa majini ikiwemo hata kutazama kuchomoza na kuzama kwa jua wakiwa kwenye bahari ya Hindi. Tazama video

https://p.dw.com/p/4MgMF