Boti yazama Visiwani Zanzibar | Matukio ya Afrika | DW | 05.04.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Usafiri majini

Boti yazama Visiwani Zanzibar

Vyombo vya usalama na uokoaji Zanzibar vimefanikiwa kuwaokoa jumla ya wavuvi 53 ambao boti yao ilizama Jumanne majira ya saa nne asubuhi katika bahari ya Tumbatu kutokana na hali mbaya ya hewa.

Sikiliza sauti 02:26

Mahojiano na Hasina Ramahani Tawfiq

Kabla ya ajali hiyo, Mamlaka ya Hali ya Hewa ilikuwa imetoa indhari kwa wasafiri. DW imezungumza na Kamanda wa Kaskazini Unguja, Kamishna Msaidizi wa Polisi Hasina Ramahani Tawfiq, kufahamu taarifa zaidi ya tukio hilo na kwanza anaelezea tukio lilivyotokea. 

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com