Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine amedai ushindi katika uchaguzi wa rais, na kutupilia mbali matokeo ya awali yanayomuonyesha rais Yoweri Museveni akiongoza kwa tofauti kubwa.
Tuma Facebook Twitter Whatsapp Web EMail Telegram Facebook Messenger Web
Kiungo https://p.dw.com/p/3nzLq
Aliyekuwa mgombea urais nchini Uganda Robert Kyagulanyi amesema hatababaishwa na mawakili wa rais Museveni wanaotaka agharamie hatua yake ya kuondoa kesi ya kuoinga matokeo ya rais aliyowasilisha katika mahakama ya juu.
Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu nchini Uganda umelishutumu jeshi kuhusika pakubwa katika vitendo vya ukiukwaji wa haki za binaadamu hivi karibuni.
Jeshi la Uganda limetoa adhabu ya kifungo gerezani kwa askari wake waliowapiga na kuwajeruhi waandishi habari siku ya Jumatano, baada ya shinikizo na shutma kutoka kwa wadau mbalimbali ndani na nje ya nchi.
Kwa mara nyingine majeshi ya Uganda yameshuhudiwa waziwazi hakiwapiga wanahabari na kuwajeruhi baadhi ambao sasa hivi wanatibu majeraha na vidonda vya vichwani na viungo.